Kenyans.co.ke
https://www.kenyans.co.ke
Sep 10, 2024 at 08:19PM
The government is currently probing the cause of the numerous fire incidents.
Sep 10, 2024 at 07:19PM
The orders follow are in connection with a petition filed by Wanjigi before the court in August this year.
Sep 10, 2024 at 06:27PM
President Ruto is gearing for a tough election in 2027 which has necessitated him to explore all options with every vote expected to count in what is projected to be Kenya's toughest election.
Sep 10, 2024 at 05:39PM
Many users have shared a consistent experience: they were actively using the app when they were abruptly logged out, across multiple devices.
Sep 10, 2024 at 04:45PM
The announcement by Kenya Power comes amid claims that the fire might have been due to an electric fault.
Sep 10, 2024 at 03:17PM
The fight broke up after Trade and Industry Cabinet Secretary CS Salim Mvurya arrived and Aisha Jumwa tried to convince him to join her at her dais.
KBC Digital
https://www.kbc.co.ke
Sep 10, 2024 at 08:19PM
Last week, China hosted two critical meetings with African leaders and media practitioners in a bid to enhance ties between Beijing and the African continent. In the Great Hall of the People, Chinese President Xi Jinping hosted more than 50 African leaders during the 2024 Summit of the Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC). The meeting, […]
The post China rolls out red carpet for African leaders and media practitioners first appeared on KBC.
Sep 10, 2024 at 07:51PM
SBM Bank were crowned winners of the Kenya International 6-Goal Polo Tournament after a thrilling 7F-7 victory over Turkish Airlines in final at the Nairobi Polo Club. The bankers took an early lead, with Uruguayan star Mauricio Andre scoring the opening goal in the first chukka. Turkish Airlines responded through their top player, Cruz […]
The post SBM Bank win International Polo Tourney first appeared on KBC.
Sep 10, 2024 at 06:50PM
Junior Starlet’s camp in Spain which was originally scheduled to start Tuesday has been postponed and will now commence on the 19th of this month. According to a statement from the Football Kenya Federation the adjustment will allow the team additional time to continue fine-tuning themselves ahead of the global showpiece. Junior Starlets are […]
The post Junior Starlets upbeat ahead of the Spain trip first appeared on KBC.
Sep 10, 2024 at 06:33PM
Adam Nesbitt continued with his imperious form after amassing a total of 30 points to win the 11- years category at the NCBA Kids Golf tourney held at Windsor Golf Hotel. Nesbitt managed six over par 78 to emerge the winner for the second consecutive time. Xia Yu was a distant second with a […]
The post Nesbitt and Yu prevail at the second leg of the US Kids Golf Tournament first appeared on KBC.
Sep 10, 2024 at 03:51PM
The National Assembly has asked the Supreme Court to overturn an appellate court decision that invalidated the Finance Act 2023. Through Lawyers Issa Mansuor and Josphat Kuyioni, the National Assembly made its submissions in a virtual session before the Seven Judge Bench of the apex court, in the appeal where the House, the Speaker ofthe […]
The post National Assembly argues appeal on Finance Act 2023 first appeared on KBC.
Sep 10, 2024 at 03:36PM
The Government is developing a framework of linking certified Jua Kali Sector workforce to formal employment and business financing opportunities locally and internationally, Deputy President Rigathi Gachagua has said. The framework, which is underpinned by validation of skills and expertise of Jua Kali artisans as stipulated by the Recognition of Prior Learning Policy launched in […]
The post Gachagua: Gov’t linking Jua Kali Sector to jobs, business financing first appeared on KBC.
Nairobi Gossip Club
https://nairobigossipclub.co.ke
Sep 10, 2024 at 09:08PM
Kenyan musicians Wahu And Nameless are Celebrating Their 19th Wedding Anniversary.
Sep 10, 2024 at 04:06PM
Michelle Ntalami has shared that since she decided to give her life to Christ, her life has changed completely.
In a post on social media, Michelle said she no longer identify as androsexual.
Sep 10, 2024 at 03:19PM
Mohamed Abduba Dida, the former teacher who twice ran for Kenya's Presidency is serving a seven-year sentence in a US prison.
Sep 10, 2024 at 02:53PM
Dickson Ndiema, Man Accused Of Setting The Late Ugandan Olympian Rebecca Cheptegei On Fire,has Died At An Eldoret Hospital.
Sep 10, 2024 at 02:44PM
Brazilian influencer Suellen Carey shocked many in 2023 when she took the unique step of marrying herself.
Sep 10, 2024 at 02:33PM
Juliani and Lilian Nganga have left fans speculating that all is not well in their marriage after Unfollowing each other on Instagram.
K24 TV Digital
https://www.k24tv.co.ke
Sep 10, 2024 at 09:28PM
A fire has broken out at Isiolo Boys’ High School just days after a similar incident occurred at Isiolo Girls’ High School. The Kenya Rèď CrÓss confirmed the fire incident on Tuesday, September 10, 2024, and noted that a response team had been dispatched to the scene to manage the situation. “Fire incident reported at Isiolo […]
Sep 10, 2024 at 07:51PM
Kenya Power has denied that a recent fire at Hillside Endarasha Academy in Nyeri County, which tragically claimed the lives of 21 pupils, was caused by an electrical fault. In a statement issued on Tuesday, September 10, 2024, the utility company said the power line supplying the school is a low-voltage connection from the Mweiga […]
Sep 10, 2024 at 05:28PM
Environment, Climate Change, and Forestry Cabinet Secretary Aden Duale has announced plans to engage 13,000 youth from Nairobi to clean rivers. In a statement on Tuesday, September 10, 2024, Duale indicated that his ministry plans to engage the youth under the Climate WorX Mtaani initiative. According to the CS, cleaning the Nairobi, Ngong, and Mathari […]
Sep 10, 2024 at 05:09PM
A family in Juja, Kiambu County, is overjoyed after their daughter, a 14-year-old Form One student, returned home four months after she went missing. Daisy Wanjiku, a student at Kahuhia Girls High School in Murang’a County, had disappeared from their home in Mugutha Estate on May 13, 2024, just a day before she was to […]
Sep 10, 2024 at 04:09PM
The government has unveiled new strategies to mitigate the impact of the ongoing Mpox o******k, Public Health and Professional Standards Principal Secretary Mary Muthoni has said. Muthoni made the comment on Tuesday, September 10, 2024, when she also announced the formation of a National Mpox Task Force, which will be responsible for evaluating the current […]
Sep 10, 2024 at 03:26PM
Kenyan singer Brown Mauzo has embarked on a generous spree, gifting his female fans with underwear. In a quirky twist of events, the ‘Natamani‘ hitmaker took to his Instagram to ensure no fan missed out on the surprises. “Hello ladies, last week, we managed to gift (the pants) to all who correctly sent their delivery […]
Nairobi Leo
https://www.nairobileo.co.ke
Sep 10, 2024 at 04:57PM
"We have ascertained there was no link between the cause of the fire and any fault on our network as alleged in sections of media reports."
Sep 10, 2024 at 04:32PM
"Juakali people are practical. This linkages programme is a revolution to our economy."
Sep 10, 2024 at 03:57PM
Nyaribo is accused of gross violation of the constitution and other laws, and abuse of office.
Sep 10, 2024 at 02:27PM
“Due to similar drought conditions experienced in COMESA and EAC countries last year, Kenya temporarily allowed sugar imports from outside these regions."
Sep 10, 2024 at 01:51PM
Isaac Mwaura has revealed that the government is on course to identify the students who succumbed during the Hillside Endarasha Academy school fire.
Sep 10, 2024 at 01:10PM
"We have given KWS our final warning. We don’t want to discuss these matters anymore."
Taifa Leo
https://taifaleo.nation.co.ke
Sep 10, 2024 at 05:30PM
VIJANA watatu waliuawa kwa kupigwa risasi na watu waliojihami wakiwa na magari yasiyo na nambari za usajili katika kijiji cha Mutoho, Kaunti ya Murang’a, huku polisi wakikana kutekeleza mauaji hayo.
Mili ya watatu hao, ilichukuliwa na kupelekwa katika mochari na maafisa wa polisi Jumanne asubuhi, saa kadhaa baada ya kupigwa risasi.
Wakuu wa polisi katika kaunti walidai hawafahamu sababu ya mauaji hayo, licha ya ripoti kutoka kwa kamati ya usalama kuonyesha, washukiwa hao watatu, walihusika na uvamizi katika eneo hilo.
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai, Murang'a Kusini Bw John Kanda, alikanusha kufahamu ripoti ya washukiwa hao pamoja na operesheni ya polisi dhidi ya watatu hao.
“Ninachojua, tulifahamishwa na wanakijiji kuwa kuna mili mitatu isiyojulikana eneo la Mutoho. Tulichukua na kupeleka kwenye hifadhi ya maiti. Tukio hilo linachunguzwa,” alisema Bw Kanda.
Bw Martin Kamau aliyeshuhudia tukio hilo, alisema watatu hao waliuawa saa tatu usiku Jumatatu na watu walioonekana kuwa polisi.
“Watatu hao walikuwa kwenye gari moja. Gari lilisimama kwenye barabara ya Kenol-Murang'a. Waliposhuka kwenye gari hilo, magari mengine mawili yalisimama na kuanza kuwafyatulia risasi,” alisema Bw Kamau.
Aliongeza kuwa waliofyatulia watatu hao risasi wanaaminika kuwa polisi kutokana na ujasiri waliokuwa nao.
“Baada ya kuwaua, walichukua silaha ndogo kutoka kwa waathiriwa. Walivuta mili hiyo hadi kwenye kichaka kutoka kwa barabara na kuondoka kwenye eneo la tukio huku gari la watatu hao likiachwa,” aliongeza.
Bw Kanda alisema kuwa baadhi ya simulizi kutoka kwa mashahidi ni miongoni mwa mambo yanayochunguzwa.
Sep 10, 2024 at 04:57PM
ALIYEKUWA Waziri Msaidizi wa Uchukuzi na Mbunge wa Bomachoge Chache Simon Ogari amefariki.
Familia ya Dkt Ogari ilisema alifariki Jumanne asubuhi nyumbani kwake Karen jijini Nairobi.
“Hayupo tena, alifariki mwendo wa saa kumi na moja asubuhi. Alikuwa akiugua kwa muda mrefu,” alisema mtu mmoja wa familia.
Mwingine aliongeza, “Polisi wapo hapa. Tutatoa maelezo zaidi mara tutakapomalizana nao.”
Jamaa walisema kuwa mbunge huyo wa zamani alikuwa akitafuta matibabu mara kwa mara hospitalini kwa miaka miwili iliyopita.
Dkt Ogari, 68, alikuwa mbunge wa eneobunge la Bomachoge katika Bunge la 10 na aliwakilisha Bomachoge Chache katika Bunge la 11.
Seneta wa Kisii Richard Onyonka aliomboleza marehemu Ogari akisema," alikuwa mtu mwenye adabu, mkarimu na asiye na ubinafsi."
“Mbali na kuwa kiongozi mzuri na mfanyakazi mwenzangu, alikuwa rafiki yangu wa kibinafsi kwa miaka mingi. Alikuwa mtu mzuri ambaye mimi binafsi nitamkosa katika kifo chake.”
Seneta huyo alisema kuwa kujitolea kwa Dkt Ogari kuhudumia watu wa Bomachoge kutasalia kuwa mfano bora kwa "sisi sote katika uongozi".
"Ogari alifanya kazi bila kuchoka kuinua maisha ya wapiga kura wake, na mchango wake kwa jamii yetu hautasahaulika. Tunapoomboleza msiba huu mkubwa, natuma rambirambi zangu kwa familia yake, marafiki na watu wa Bomachoge," alisema Bw. Onyonka.
Sep 10, 2024 at 11:18AM
MOHAMED Abduba Dida, mwalimu wa zamani ambaye aligombea urais mara mbili na kumaliza mbele ya baadhi ya wanasiasa mashuhuri, anatumikia kifungo cha miaka saba katika jela moja Amerika kwa kunyemelea mtu na kutoa vitisho.
Dida anazuiliwa katika gereza la Big Muddy, Illinois, ambako amekuwa tangu Novemba 18, 2022 baada ya kupatikana na hatia ya kumnyemelea na kumtisha mtu asiyejulikana katika jimbo la Magharibi mwa Amerika.
Japo wakati wa kuchapisha habari hii Taifa Leo haikuwa imethibitisha kuhusu mlalamishi, rekodi katika gereza la Muddy zinaonyesha kuwa mgombea huyo wa zamani wa urais alipatikana na hatia kwa mashtaka mawili tofauti.
Alitekeleza makosa hayo katika Kaunti ya Mclean, Illinois.
Katika shtaka la kwanza, Dida alipatikana na hatia ya kunyemelea na kutoa vitisho dhidi ya mlalamishi. Kwa kosa hili, alihukumiwa miaka miwili jela.
Katika shtaka la pili, Dida alipatikana na hatia kwa kosa moja la kunyemelea na kukiuka agizo ambalo lilimzuia kumkaribia au kuzungumza na mlalamishi.
[caption id="attachment_159274" align="alignnone" width="300"] Mohamed Abduba Dida, aliyekuwa mwalimu ambaye aliwahi kuwania urais 2013 na 2017. Dida anatumikia kifungo cha miaka saba katika jela moja Amerika. Picha| Big Muddy Correctional Center, Illinois[/caption]
Kwa shtaka hili, Dida alihukumiwa kifungo cha miaka saba jela.
Alifungwa gerezani Julai, 2021 lakini hukumu hiyo iliongezwa katika hali isiyoeleweka.
Dida anatarajiwa kutoka gerezani Aprili 3, 2029.
Ombi ambalo amewasilisha kutaka uhuru wa kutekeleza kanuni za dini yake, linaonyesha kuwa Big Muddy ni gereza la tatu kumzuilia Dida.
Kufungwa jela kwake kunaonyesha tofauti kubwa kwa mtu ambaye aliendesha kampeni ya maadili na taifa lisilo na ufisadi katika harakati zake za kuwania urais.
Mwezi mmoja kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Machi, 2013, Dida alitangazwa kuwa mgombeaji mpya zaidi katika kinyang'anyiro cha kuwania urais, akipeperusha bendera ya Alliance for Real Change, mgombea mwenza wake alikuwa Joshua Odongo.
Mjadala wa urais uliotangazwa na vyombo vingi vya habari, ulimfanya Dida kuwa mtu mashuhuri kwa usiku mmoja kwani majibu yake kwa masuala ya utawala kama vile rushwa yaliwavutia watazamaji wengi.
Katika mahojiano na runinga ya Citizen, Dida alisema kuwa kama Daudi, angemrushia jiwe moja na kumwangusha Goliath, ambaye katika muktadha huu walikuwa wagombea wengine wote wa urais, akiwemo Uhuru Kenyatta na Raila Odinga.
Katika uchaguzi huo, Dida alimaliza wa tano kwa kura 54,840. Lakini matokeo yake yalikuwa bora kuliko ya wanasiasa wawili mashuhuri kama aliyekuwa waziri wa Sheria Martha Karua (kura 43,881) na aliyekuwa Mbunge wa Kabete Paul Muite (kura 12,580).
Katika kampeni hiyo, Dida aligonga vichwa vya habari tena alipokataa maafisa wawili wa polisi waliotumwa kumhudumia, badala yake alitaka walinda usalama 20. Ombi hilo lilikataliwa.
Katika uchaguzi wa 2017, Dida alimaliza wa nne kwa kura 38,004 na bora zaidi ya mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo.
Mnamo Aprili 15, 2024 Dida aliwasilisha ombi dhidi ya Kimberly Hvarre, mlinzi wa gereza la Muddy, kwa madai ya ukiukaji wa haki zake za Uislamu.
Jaji Gilbert C Sison, alisema katika uamuzi wake kwamba haikufahamika iwapo ombi la Dida liliwasilishwa chini ya Marekebisho ya Kwanza ya Katiba ya Amerika au Sheria ya Matumizi ya Kidini na Watu Waliozuiliwa (RLUIPA).
Lakini alikubali kwamba Dida aliibua masuala ya kisheria kwani dini inatambuliwa katika Marekebisho ya Kwanza na RLUIPA.
Hivi sasa, Dida ni Imam wa kujitolea katika Big Muddy na anaruhusiwa kusali mara moja kila Ijumaa.
“Yeye (Dida) analalamika kwamba hawezi kutimiza vipengele muhimu kuhusu swala yake, kama vile upande anaopaswa kutazama kuswali, sharti la kuosha nafsi yake kabla ya kuswali, na sharti kwamba baadhi ya sala zinafanyika nyakati za usiku. Anakiri kwamba hivi majuzi alihamishwa kutoka seli aliyozuiliwa peke yake, hatua ambayo inapunguza baadhi ya matatizo yake. Hata hivyo, analalamika kwamba anahitaji kuoga mwili wote kila Ijumaa kabla ya sala, lakini licha ya mikutano mingi kuhusu hili, ameweza kupanga hilo,” inasema sehemu ya stakabadhi za mahakama.
Kutokana na mapungufu hayo, Dida alisema alikataa kushiriki Ramadhani mwaka huu.
Hakimu Sison alimuonya Dida kuwa kesi hiyo inaweza kuchukua muda na kuwa ni mchakato mgumu.
Sep 10, 2024 at 11:00AM
UCHUNGUZI wa kina uliofanywa na wabunge umefichua jinsi gharama ghali ya mahari na mtindo wa wanasiasa kuwapa silaha majambazi ndizo chanzo cha ujangili na ukosefu wa usalama katika kaunti sita za Kaskazini Mashariki.
Hali ya usalama katika kaunti za Baringo, Elgeyo Marakwet, Turkana, West Pokot, Samburu na Laikipia, imeathiriwa na shughuli za uhalifu kutokana na ujangili, wizi wa mifugo na mapigano ya kiukoo.
Huku idadi kubwa ya wahasiriwa wakiwa wanawake, watoto na wazee, ukosefu wa usalama eneo hilo umesababisha vifo, wanajamii wasio na hatia kufurushwa makwao na misukosuko ya kiuchumi.
Uchunguzi wa wabunge uliochukua muda wa miezi tsa kutoka Agosti 2023 hadi Aprili 2024, umeonyesha kuwa ujangili na wizi wa mifugo hutokana na masuala kadhaa.
Masuala haya ni pamoja na biashara ya mifugo wa kuibwa, thamani inayotwikwa mifugo, itikadi za kitamaduni, matumizi ya mifugo kama malipo ya mahari eneo hilo ikiwemo haja ya kufidia baada ya kipindi kirefu cha kiangazi.
“Kero la ukosefu wa usalama eneo hili linatokana na itikadi zilizopitwa na wakati kama vile uvamizi wa mifugo unaoshinikizwa na malengo ya kibiashara, malipo ghali ya mahari, kujaza pengo baada ya vipindi virefu vya kiangazi na sifa wanazotwikwa vijana mashujaa vitani,” inaeleza ripoti iliyowasilishwa na Kamati inayoongozwa na Mbunge wa Narok Magharibi, Gabriel Tongoyo.
Isitoshe, ripoti hiyo inaashiria changamoto wanazopitia wanaume wanaotaka kuoa huku wakihitajika kukusanya mahari inayolipwa kwa kutumia mifugo kabla ya kupatiwa wake.
“Wanaume vijana wanaotaka kuoa wanashinikizwa na kulazimika kutumia kila wawezalo kupata mifugo wa kutimiza wajibu huo wa kijamii. Suala hili linavuruga hali ya usalama eneo hilo,” ilisema ripoti.
Aidha, kuna “mtindo wa kutatiza” ambapo wizi wa mifugo umegeuzwa kuwa biashara.
Mifugo walioibwa sasa wanauzwa kwa mapato ya kifedha badala ya malengo ya kitamaduni ya kuongeza mifugo.
Mabadiliko haya kutoka sababu za kitamaduni hadi faida ya kifedha yamechochea athari hasi za visa hivi na madhara yake kwa jamii.
Sep 10, 2024 at 10:00AM
NI mara ya sita mwaka huu kampuni ya dhahabu ya Amlight Resources iliyoko Siaya imevamiwa na majambazi na kupoteza mali ya mamilioni ya pesa.
Na sasa, ndani ya majuma mawili yaliyopita, kampuni hiyo ya kuchimba madini kaunti ndogo ya Rarieda, imevamiwa mara mbili.
Sawa na matukio hayo mengine ya awali, shirika hilo limeendelea kupoteza mali ya mamilioni ya pesa.
Hivi punde
Katika tukio la hivi punde zaidi kijijini Ramba, Kata ya Asembo Central, usiku wa kuamkia Jumatatu, wezi hao walimfunga askari kwa kamba saa saba usiku kabla ya kusababisha uharibifu na wizi.
Waliteketeza tingatinga mbili.
Wakili Danstan Omari alilalama kuwa hili ni tukio la sita kufanyika mwaka huu na hakuna hatua imechukuliwa na vyombo vya usalama.
Bw Omari alizidi kuteta kuwa hata kesi walizowasilisha kortini zimekwama na kuganda.
Wakili huyu, ambaye alisema maisha yake yako hatarini, alisema amekuwa akifuatwa na watu kwa nia ya kumtisha asiwakilishe kampuni hiyo katika shoroba za mahakama.
"Polisi na idara ya mahakama inaonekana kama imekula njama ili kuvuruga mchakato wa kutekeleza haki," alilalamika wakili Omari akiongeza kwamba watataka kesi zote zinazosubiri kuwasilishwa mahakamani - zinazohusu Amlight Resources - zihamishwe nje ya kaunti ya Siaya ambako, alidai, mifumo ya mahakama imeingiliwa.
Alisema kuwa wanafikiria kushtaki polisi kwa kukataa kulinda mali ya kampuni hiyo licha ya maombi kadhaa yakitolewa.
Mkurugenzi wa kampuni ya Amlight Resources; Amos Mabonga aliunga mkono kauli ya wakili wake akilaumu mahakama na polisi kwa masaibu yanayoathiri kampuni yake.
Bw Mabonga alisema washindani wake wamewatuma majambazi ambao wamekuwa wakimfuata, na kuongeza kuwa ameweza tu kuishi kwa neema ya Mungu.
Wiki mbili zilizopita majambazi waliokuwa na silaha walivamia kampuni hiyo na kuondoka na vifaa vya thamani ya mamilioni ya pesa baada ya kuvunja ukuta na kuvunja afisi na karakana.
Imetafsiriwa na Labaan Shabaan
Sep 10, 2024 at 09:00AM
MBUNGE wa Makadara George Aladwa amemtaka Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja kushughulikia matatizo ya wakazi wa jiji la Nairobi.
Haya yanajiri huku madai yakizuka baadhi ya madiwani wanapanga njama ya kuwasilisha hoja ya kumtia afisini.
Bw Aladwa mnamo Jumatatu alisema kuwa Bw Sakaja hafai kuwapuuza madiwani ambao wamekuwa wakifuatilia utendakazi wake na hadi sasa hawajaridhishwa na rekodi yake tangu achaguliwe.
Wakati ambapo kuna gumzo kuwa huenda Bw Sakaja akatimuliwa, mwenyewe amejitokeza na kusema hatahangaishwa na watu wachache ambao hawafurahii kazi yake.
“Apange nyumba yake kwa sababu kile tunataka kuona ni maendeleo na si hadithi au ahadi zisizotimizwa. Kaunti ya Nairobi na kubwa na tunataka maendeleo,” akasema Bw Aladwa.
Ili kujikinga Bw Sakaja amekuwa akiwavutia madiwani wa ODM ambao ndio wengi upande wake na wikendi hata alionekana nyumbani kwa Kinara wa Azimio Raila Odinga kule Bondo, Kaunti ya Siaya.
Kuonekana kwake na Raila kulifasiriwa kuwa juhudi za kumrai Bw Odinga atulize joto la kisiasa linalomkabili katika kaunti.
Bw Aladwa alisema kuwa anafahamu kuwa gavana alikutana na madiwani wa ODM mnamo Jumatatu ila kitakachomwokoa ni utendakazi wake kwa sababu raia ndio wana usemi wa mwisho.
“Sina habari kuhusu mkutano huo ila nimesikia analenga kutuliza madiwani ambao wanaonekana wamemchoka na wanataka kumtimua,” akasema Bw Aladwa ambaye ni mwenyekiti wa ODM Kaunti ya Nairobi.
Wiki jana, Bw Sakaja pia alikutana na madiwani wa Kenya Kwanza ambapo inadaiwa aliwaomba washirikiane kuyatatua baadhi ya matatizo yanayowakabili wakazi jijini.
Bunge la Kaunti ya Nairobi vimerejelea vikao vyake Jumanne baada ya mapumziko ya kipindi kifupi.
Baadhi ya madiwani ambao ni wandani wa Bw Sakaja wameonya kuwa hawatakubali hoja yoyote ya kumtimua Gavana iwasilishwe